Hit maker wa single ya Kigeugeu anayewakilisha kutoka Kenya Jaguar ambaye hivi karibuni alifanya show katika jiji la Kigali Rwanda ambapo unaambiwa show yake moja pesa yake inafika mpaka million hamisini za kitanzania inategemea na makubaliano yake na mwenye show.

Jaguar Performance In Rwanda

Kwa mujibu wa promota wa show aliyo ifanya ndani ya Rwanda msanii Jaguar amelipwa kiasi cha shilingi Million 30 za kitanzania kwa Kenya ni Million 1.5, hizi ni picha zake alivyowasili Rwanda 


Jaguar Performance In Rwanda 


Jaguar Performance In Rwanda 


Jaguar alisema anataka kuipandisha soko la mziki Kenya ambaye anashindana na mastaa kama Davido ambaye analipwa million 200 kwa perfomance ya dakika 45 tu


Post a Comment

 
Top