Najua utakuwa uliwahi kusikia kuhusi majini mahaba na pepo la ngono ambayo mara nyingi watu wamekuwa wakitupiwa na waganga wa kienyeji lakini sidhani kama ulishawahi kuona yanavyotolewa kwa njia za kufanyiwa maobi kanisani 




Kanisa moja nchini Nigeria wameachia picha hizi zikimwonyesha dada akifanyiwa maombezi baada ya kutupiwa pepo la ngono, Unaambiwa siku hiyo ya ibaada ilikuwa patashika ya nguo kuchani mana kutoa mtu pepo sio kazi ndogo.Kilichoifanya nikuletee hii stori ni baada ya mchungaji kushika nyeti za mumini anayemfanyia maombezi  



Sasa mim nasema kama hii ndio njia ya kutoa pepo la ngono kwa makanisa ya kibongo ngono itawala sana lol share na rafiki yako

Post a Comment

 
Top