Mmiliki wa mtandao wa Sintah.com ametoa kali ya mwaka baada ya kumrushia dongo zito msanii shilole kwa kumpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda huku akidai kuwa ni Udalilishaji na mapenzi hayoi hivyo hata siku moja.
Nakuu ya maneno ya Sinta kuoka kwenye Blog yake kuhusu unyanyasaji anaofanyiwa Nuh Mziwanda yanasomeka hivi
Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo so called Nuh or whatever his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi mapenzi yamemekuwa free sana yaani ukiona mtu anakupa vitasa mara humuelewi yanini kun'ga'gania as if umezaliwa naye, mtu uliyemjua ukubwani nae akupe shida BIG NO i would rather stay single for the rest of my life, kwanza sio adhabu kuwa single kuliko kuwa katika unhealthy relationship ...
mnaomuonea hruma huyo so called Mziwanda ni wanafiki mapenzi ya mtu mbili kama anapigwa vitasa na anatulia anajua mwenyewe alichokifanya na atulie, kuliko kusema ni umasikini kwani yeye ni kiwete? ina maana hawezi kutafuta kazi akapata mpaka awe msingi kiuno hell no muacheni apokee makonde, vitasa, nk, vijana kama yeye wapo wengi tuu kazi kujisexisha na kuwa msingi kiuno mjini ndio wanafanya taifa linadidimia kwa umasikini, vijana wenye nguvu wanatakiwa wafanye kazi matokeo yake wanajipamba tu , halafu mnalalmika ooh wazee hawatuachii nafasi maofisini watawachiaje na nyie siku hizi mnapenda slope full kutelezaa...
Mwisho wa Nakuu kutoka kwenye Blog yake wewe naye unasemaje?
Post a Comment