
Mapema Leo kwenye akaunt ya Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu imeshare cha video ambayo ni Movie yake mpya ambapo ndani ya Vieo hiyo ina muonyesha Mtangazani Millard Ayo akiongea na simu ikiwa ni moja ya kati ya Clip kwenye hiyo Movie mpya nimekuwekea hapa cli hiyo
Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa kuitizama
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.