zari the boss lady

Katika pita pita zangu leo kwenye mitandao nikafanikiwa kupata hii picha ya Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama Zari The boss Lady akiwa ndani ya pete ya uchumba ambayo Diamond alimvisha kisiri hakutaka watu wajue kabisa picha ziko hapa chini


pete ya uchumba ya zari the boss lady

Mashalaaah

pete ya uchumba ya zari the boss lady


Je kwa hapa alipofika Diamond ni ishara tosha atamuoa Zari au yakauwa kama yale ya kipindi ile na Wema Sepetu?

Post a Comment

 
Top