King Lawrence bado anaendele kuliandama Penzi kati ya Staa Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady kwa kashfa kibao moja wapo ikiwa ni kumtusi kwa maneno ya kejeli na kumfanya Diamond aonekana kama zumbu kuku ulimwengu uko huku



Katika njia zake amejaribu kugoogle baadhi ya picha na kuonyesha jinsi Diamond akicheza na Stage show wake wakiwa kwenye moja ya show sasa kama ujuavyo wakati wa kucheza kuna mambo ya kushikana lakini cha ajabu King Lawrence amenukuu kama Diamond huwa anamcheat sana Zari mara wawapo mbali 

 





Je kwa Hiki anachokifanya King Lawrence kwenye mahusioano ya Diamond na Zari atafanikiwa kweli?

Post a Comment

 
Top