Kim Kardashian amepata tarifa za kutukiza kutoka kwa doctor wake wa Uzazi kuwa ataondolewa kizazi kama atapata mimba ya Mtoto Mwngine. Kim K aliongea hayo kwenye kipindi chake cha Keeping Up With The Kardashians ambapo alinukuliwa akisema
"I’m trying to get a hold of Kanye, because I just came from my fertility doctor and they need me to go into surgery to clear out something in my uterus,” she told the cameras.
Kim K alimwamuambiwa mumewe Kanye West na alinukuliwa kama ifutavyo
"When you have your baby, this will be your last one, because the problem is your placenta grew on your uterus, so when you have another baby, your placenta will go right to that hole and then we’ll have a team of doctors waiting right there, to remove your uterus and put you into emergency surgery right there because you can’t bleed too much,” Kim tells her husband.
Baada ya taarifa hiyo Kim alijawa na Mawazo na pia kilio na Je Kanye atakubali kutulia nae hata kama ametolewa kizazi au atarudi kwa Amber mana yupo Single?
Post a Comment