idriss sultan na wema sepetu


Ukaribu kati ya Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu pamoja na Mshindi wa Big Brother Afrika kwa mwaka 2014 Idris Sultan bado unaendelea kuwa watu wakati mgumu baada ya picha za Wema na Idris wakila bata maeneo ya Escape One Night kali lakini cha kustajabisha ni hayo mapozi yao ambapo kwa mujibu wa picha zinaonyesha Wema akitumia Scuf ya Idris kujifuta uso wake mara wakishikana shikana na hata kunong'onezana, wakati zile picha zingine zikionyesha wakiwa shopping wanafanya manunuzi lakin kwa mujibu wa source ya kuamini ilikuwa ni Tangazo kwa ajili ya Uchumi Super Market 


idriss sultan na wema sepetu  


idriss sultan na wema sepetu

Post a Comment

 
Top