Ikiwa ni siku mbili Baada ya Tuzo za Kilimanjaro Music Award Kuisha kumekuwa na malamiko mengi kwa wasani kama Diamond Platnumz kutokutendewa haki kwenye utoji wa Tuzo hizo na mwingine ni Jux kutokutoa word of apriciation ambapo nyimbo alioshindia Tuzo sio utunzi wake ukiwa ni utunzi wa staa Mabeste. Sasa kwa mara ya kwanza toka utoalewaji wa hizi tuzo uishe Zari amefunguka yake ya moyoni na amesema haya
Post a Comment