Hit Maker wa Single ya My, Ally Nipishe ambaye alikubwa na mkasa wa kuuziwa gari la Uwizi na kulala segere takribani Miezi mitatu leo amekataa zawadi ya gari ambayo amepewa kutoka kwa Shabiki wake ambaye alitaka kumnunulia gari aina ya IST lakini kwa matokeo yasio ya kutarajia kutoka kwa shabiki wake Ally alikataa zawadi hiyo kutoka kwa shabiki huyo audio iko hapa chini
Post a Comment