Mkazi mmoja wilayni Misungwi mkoani Mwanza amepata aibu ya mwaka baada ya kufumaniwa na mumewe akichepuka picha zinafuata hapo chini.



Kwa muujibu wa shuhuda wa tukio hilo alieleza kuwa

“Alitonywa kwa njia ya simu kwamba mumewe yuko kilabuni na kimada, ndipo alipomuibukia lakini nasikia mumewe kakolea kwa huyo kimada, hivyo akamgeuzia kibao kwa kumtaka aondoke. Alipogoma sasa ndiyo akalazimika kumpa kichapo hevi hadi kumtoa damu,”

“Nirudisheni! Nirudisheni! Nasema nirudisheni kule nikalipe kisasi, sikubali,” 

picha za tukio zima ziko hapa chini 





Post a Comment

 
Top