Habari zenu
Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwa mda wa mwaka na nusu. Kuna vitu huwa anafanya vinanifanya mimi nihisi hajatahiliwa, kwanza akipandisha kitandani wakati wa mechi anapovua nguo lazima abakize boxer anaivulia kitandani.
Pia tukienda kuoga anarudisha uume kwa nyuma. Kuna siku nilianza kugoogle kuangalia uume uliotahiriwa unakuaje nikapata picha zikawa zipo kwenye gallley alivyorudi jioni akaziona alichukia sana.
Kwasasa anataka katikati ya mwezi wa saba akajitambulishe kwetu najiuliza maswali mengi sielewi nifanyeje.
Naomba msaada wa mawazo
Post a Comment