Jacqueline Wolper

Muigizaji Jackline Wolper Almaarufu kama Wolperr Gambe amesema anatarajia kujifungua miezi mitano ijayo.Ameyasema hayo alipokuwa akitoa pongezi kwa Diamond na Zari ambapo siku ya jana walipata mtoto hichi ndicho alichokisema

“Congratulations dad and mom MTV, God is always great, Congrats Wasafi President for the little princes. Mine is on the way 5 months to go!!,Sema mtoto wa kwanza bwana unaweza kujikuta unataka kum’beba wewe tuu na kazini usiendee, utunyime mashabk haki yetu ukaacha kututungia viburudisho ukawa unalea. Hongera mtani wangu one love @diamondplatnumz,”

Tusibiri nae tumpe pongezi

06 Aug 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top