Vanessa Mdee Na Diamond Platnumz Washinda Hizi Tuzo NNE Za AFRIMA
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lagos, Nigeria ambapo Tanzania imetoa washindi wawili.
Diamond Platnumz aliyekuwa akiwania tuzo hizo ameibuka mshindi wa vipengele 3 kikiwemo kipengele muhimu cha Msanii Bora Wa Mwaka (Artist Of The Year) ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Alikiba, Davido, Jose Chameleone, Wizkid, Yemi Alade, Sarkodie na Flavour

Vanessa Mdee Na Diamond Platnumz Washinda Hizi Tuzo NNE Za AFRIMA

Vipengele vingine alivyoshinda Diamond ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best Male Artist in Eastern Africa) pamoja na Wimbo Bora Afrika (Nasema Nawe).

“Jus wanted to let you know that we have won the first one BEST EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR! this isnfor you my fans… thanks for the Votes!!! thanks alot @the_speshoz for this Suit and many thanks to my brother @jm_international_collection for the scarf and Tie! #AfrimaAwards” alindika Diamond Instagram.

VANESSA NAYE ALIANDIKA HIVII 

GLORY TO GOD IN THE HIGHEST! #BestAfricanPop #Hawajui thankyou @nahreel @barnabaclassic and… https://instagram.com/p/-H24PBAYWY/

Hii Hapa Ndio Orodha Ya Washindi 
ARTIST OF THE YEAR
Diamond Platnumz

SONG OF THE YEAR
Diamond Platnumz – “Nasema Nawe”, featuring Khadija Kopa

ALBUM OF THE YEAR
Charlotte Dipanda – “Elle n’a pas vu”

BEST ARTIST IN AFRICA (RnB & Soul)
Praiz Adejo – Nigeria

BEST AFRICAN REGGAE, RAGGA & DANCEHALL
Stonebwoy – Ghana

BEST MALE ARTIST: INSPIRATIONAL CATEGORY
Darey – Nigeria

BEST FEMALE ARTIST: INSPIRATIONAL CATEGORY
Betty Akna- Equatorial Guinea

VIDEO OF THE YEAR
Wiyaala – Ghana

BEST ARTIST IN AFRICAN POP
Vanessa Mdee – Tanzania

BEST ARTIST IN AFRICAN HIP HOP
Casper Nyovest – South Africa

BEST ARTIST IN AFRICAN ELECTRO
Flavour – Nigeria

PRODUCER OF THE YEAR
Sauti Sol and Cedric Kadenyi – Kenya

SONGWRITER OF THE YEAR IN AFRICA
Chameleone – Uganda

REVELATION OF THE YEAR IN AFRICA
Adekunle Gold – Nigeria
Adekunle Gold and Kiss Daniel

MOST PROMISING ARTIST IN AFRICA
Kiss Daniel – Nigeria

BEST ARTIST IN AFRICAN CONTEMPORARY
Charlotte Dipanda

BEST ARTIST IN AFRICAN JAZZ
Kunle Ayo – Nigeria

BEST MALE ARTIST IN WESTERN AFRICA
Olamide – Nigeria

BEST FEMALE ARTIST IN WESTERN AFRICA
Yemi Alade – Nigeria

BEST ARTIST IN AFRICAN ROCK
M’vula – Kenya
Sauti Sol

BEST AFRICAN GROUP
Sauti Sol

BEST AFRICAN COLLABORATION
AKA and Burna Boy

BEST FEMALE ARTIST IN SOUTHERN AFRICA
Busiswa Ngoku

BEST MALE ARTIST IN SOUTHERN AFRICA
Casper Nyovest

BEST FEMALE ARTIST IN NORTHERN AFRICA
Manal- Morocco

BEST MALE ARTIST IN NORTHERN AFRICA
Ahmed Soultan- Morocco

BEST FEMALE ARTIST IN EASTERN AFRICA
Tsedenia Gebremarkos- Ethiopia

BEST MALE ARTIST IN EASTERN AFRICA
Diamond Platnumz- Tanzania.

PILLAR OF CULTURE IN AFRICA
Bola Ahmed Tinubu.

Post a Comment

 
Top