STAA anayeuza nyago
kunako anga la filamu Bongo,
Salma Jabu ‘Nisha’ (pichani)
ameweka wazi kuwa
anapokuwa anarekodi ‘scene’
za kimapenzi, yuko tayari achezewe sehemu zote za
mwili wake lakini siyo
kifuani.
Akizungumza na Ijumaa
katika mahojiano maalum
juzikati, Nisha alisema kuwa amekuwa na msimamo huo kutokana na namna
anavyolithamini eneo hilo.
Alisema kuwa, hata kama
watakayokuwa
wanayafanya ni kuigiza lakini yuko radhi aigize kwa
kufanyika kila kitu lakini siyo
kuchezewa matiti yake
kwani mwenye nafasi ya
kufanya hivyo ni ‘mtu’ wake
tu. “Mh! Hata kama ni kuigiza
lakini ninachoweza kusema
siko tayari nishikwe sehemu
ya kifua changu, nakipenda na
ninakithamini. Hiki ni kwa ajili
ya mpenzi wangu na si mtu mwingine.
“Siyo kwenye kuigiza tu hata
linapokuja suala la utani,
unitanie kwa mambo
mengine lakini siyo kwa
kunishika sehemu zangu muhimu,” alisema nisha,

Post a Comment

 
Top