Ukweli ni
kwamba bado hajachukua fomu ya kushiriki na wala hajawa na mpango wa kwenda BBA
2013 kwa sababu ana mipango mingi ikiwemo kufungua ofisi yake mpya.
Lakini kwa
uapnde mwingine wa Wema anasema
anafurahi kusikia watu wakimuongelea hivyo kwa sababu wameonyesha kumuamini kwa
kumuona anaweza kuingia BBA, anachosisitiza ni kwamba aliwahi kuwaza kwenda BBA lakini hajawa na
uhakika kuhusu yeye kushiriki.
Sikiliza
sauti yake akizungumza na Millard Ayo
Post a Comment