Wanafunzi wengi waliomaliza kidato IV mwaka jana sasa hivi
wanaweweseka na stori za matokeo kutoka.Upotoshaji umeanzia kwenye page feki za
facebook ambayo inaendeshwa na watu wanaojifanya ni Necta, ni page ambazo
zimekuwa zikitoa habari za uongo na pia zenye kufanana yani copy na kupaste
kitu ambacho kimekuwa kiki wachanganya sana wafunzi waliomaliza pia zimekuwa
zikijizolea likes nyingi kila kukicha
Kutoka kwa host wa kipindi cha Amplifaya cha Super brand redio Clouds fm Millard Ayo
aliweza kuongea na msemaji wa necta na
kueleza kuwa
“matokeo ya kidato
cha nne hayajatoka bado lakini yakiwa tayari Katibu Mtendaji ataita waandishi
na yatawekwa kwenye mtandao wetu wa NECTA, kuna watu wametoa hizo habari kwenye
facebook na wanatumia nembo ya baraza la mitihani lakini napenda kukwambia
kwamba NECTA hatuna ukurasa wa facebook, hiyo taarifa sio ya ukweli na wala
haina uhusiano wowote na baraza la mitihani, matokeo yatatoka kabla ya mwishoni
mwa february 2013″
Na hi indo sauti ya mahojiano yao sikiliza hapa
Post a Comment