Mambo yaliyomfanya Mbunge wa arusha Godbless Lema
akamatwe na kunyimwa dhamana jioni hii ni haya yafuatayo baada ya kuongea na
Mwanasheria wa Lema wakili Humphrey Mtui
i)Kosa la kwanza ni kuwaambia wanafunzi wa chuo cha
uhasibu alipoenda kuwatuliza kuwa ‘dhambi kubwa kuliko zote ni woga ‘.Haki
hutafutwa na kupiganiwa ikiwa jambo unalipigania ni la msingi na linafaa
kupiganiwa(Worth fighting for)
ii)Kosa la pili ni pale alipotamka kuwa ‘’Tumemtafuta
mkuu wa mkoa juu ya Matatizo yenu na mlivyoshuhudia hapa amechukua muda mrefu
na kuingia kama vile anaingia kwenye send-off.Hawa ndiyo viongozi wetu ambao
hawajali matatizo ya wananchi’’Kwa hiyo huo ni uchochezi
CHEKII HIII VIDEO YA MAOHIJIANO HAPA
Post a Comment