Jacky Wolper a.k.a Wolper Gambe right about now yupo on road na
ndinga yake mpya “Mini Cooper”. Interesting issue kuhusu gari hili ni
kwamba, kwa nyuma chini ya plate number mwanadada katupia maandishi ya
steel kabisa kama yametoka kiwandani na gari lenyewe..yanasomeka “WOLPER
GAMBE” ambalo ni jina analotumia kwenye mitandao mingi ya kijamii.
Upande wa pili mpekuzi wa bongomovietz alivyomuuliza Wolper how much
zimemtoka kuvuta ndinga hiyo akasema siri yake..nikatafute kwenye
internet. Basi sawa.mtandao wa mini.co.za ambao ndio dealers wa Mini
Cooper kusini mwa jangwa la Sahara(Sub Sahara Mini official dealers)
wameonyesha price ya R233,462 kwa Mini Cooper yenye same look na ya
Wolper tukizingatia version ya gari husika..ambapo kwa pesa za madafu ni
Tsh 42,012,236.If so Wolper, we gat to hack your bank account…tuvute
iyo michuzi na sisi.
Picha zaidi hapa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Picha zaidi hapa
Post a Comment