Huyu ni raisi wa nchi ya Uruguay anayeitwa José Alberto Mujica na anatajwa kuwa raisi maskini zaidi duniani kutokana na kuwa na utaratibu wa kugawa asilimia 90 ya mshahara wake (dola za kimarekani 12000) na kuwapa maskini,watu wenye mazingira magumu na wajasiliamali wadogo huku yeye akibakiwa na dola 1200 tu (sawa na karibu millioni moja laki nane za kitanzania) kila mwezi!

Post a Comment

 
Top