KATIKA HALI ISIYO KUWA YA KAWAIDA KIJANA AJIRUSHA KUTOA GHOROFANI HUKO KARIAKO JIJIN DAR ES SALAAM ONA PICHA HAPA. A+ A- Print Email Muda si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo akaangukia kwenye hiyo taxi chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini, ni mfanya biashara anaitwa Shirima kakimbizwa hospitali.
Post a Comment