Muigizaji Michelle Rodriguez akisaini poster

Waigizaji wa filamu hiyo wakiwemo, Vin Diesel, Michelle Rodriguez, Tyrese, Jordana Brewster, Luke Evans, Ludacris Paul Walker na wengine walihudhuria uzinduzi huo wa Leicester Square. Utazamaji wa kwanza wa filamu hiyo ulifanyika Empire cinema, jijini humo.







Elsa Pataky poses for the cameras



Ludacris



Ssung Kang kwenye uzinduzi







Bondia David Haye naye alikuwepo







Tyrese na mrembo








Paul Walker na Vin Diesel



Vin Diesel





Waigizaji Paul Walker, Vin Diesel na Tyrese Gibson (37)

Post a Comment

 
Top