Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii…so called Amber-Rose lakini si
tunamjua as Jacklyne Wolper, pande hizo anajiita Wolper Gambe. Jina
limetoka la Wolper Gambe limetoka wapi? Gambe maana yake si pombe kama
bia na vitu vingi vingine, hiyo ndiyo iliwappa watu kadhaa hamu ya kujua
kwanini anajiita hivyo baada ya kuona hadi ndinga yake kaitupia jina
hilo kwa upande wa nyuma. Wolper huyu hapa anafunguka kuhusu hilo jina,”Mwanzo
watu walibadirisha wimbo wa yule mkorea PSY..ukimsikiliza anavyoimba
inasikika Opa gangnam style, ikabadilishwa na kuwa Wolper gangnam style
kwasababu ina sound sawasawa. Lakini baadae wakabadilisha zaidi na
kuimba Wolper gambe style unajua jinsi neno gambe lilivyo maarufu na
raisi kulitumia hapo lina sound poa. Sasa wimbo ulivyoanza ku-kick zaidi
ndiyo na jina likawa kubwa zaidi,”
Kinyumbani nyumbani tushazoea kupeana majina kutokana na tabia au vitu vyetu..mfano Hamisi chizi,Mwajuma ndalandefu…sasa unaonajeo kwa Wolper. Unadhani mwanadada ni mtu wa mtungi a.k.a Gambe kwa sana ndiyo maana hilo jina likaja. Zaidi huyu hapa Wolper Gambe mwenye akizungumzia jina lake hilo na akiimba Gangnam Style ya jina lake

Post a Comment