Dayna Nyange
Ni tarehe 15 ya mwezi wa 6 jumaa mosi ndani ya
Nashela Hotel mwana dada Dayna Nyange ameahidi kufanya bonge ya show
katika kumtafuta REDDS MISS MOROGORO 2013. Kwa mara ya kwanza wakazi
wa Morogoro wategemee bonge ya show toka kwangu.
SIKU- Jumaa mosi tarehe 15/06/2013
MAHALI- Nashela Hotel Morogoro
MUDA - 20:00
KIINGILIO - 10000 kwa 7000
Karibuni wote nawapenda sana
Post a Comment