Hii Play Station Ipo Ndani Ya Nyumba AliyoKuwa Anaishi Ngwear. Jordan anasema Ngwear alikuwa anapenda sana Video Games na Muda wake mwingi akiwa Nyumbani aliutumia Kucheza Game Kama AND 1, Fifa Na God Of War- Mission




Mlango Wa Chumba Cha Albert Mangweha, Mwenye Nyumba Hajaruhusu Mtu Ndani Ya Chumba Hichi Toka Ngwear Afariki. Amesema Kuna Vitu Vya Ngwear atakavyo kabidhi kwa Familia Yake.


Huyu mdogo wake Dark Master, Ni msanii anaye chipukia. Anatumia Jina La Jordan Da Prince.

Creadit to sammisago 


Post a Comment

 
Top