Mis Tanzania mwaka 2001,Happiness magese ambae kwa
kipindi kirefu amekuwa nje ya Tanzania
akifanya shuguli za uwanamitindo leo baada ya muda mrefu kuwa kimya aliamua kushare na
fans wake kupitia mtandao wakewa Instagram kuwajuza
kile kilichokuwa kinamfanya akae
nchini marekani kwa muda
Hapiness amejifunza vitu vingi sana kuhusu Filamu na
kuhitimu katika chuo cha
NEW YORK FILM ACADEMY....kUPITIA MTANDAO
WA INSTAGRAM
ALIANDIKA HIVI;








Post a Comment

 
Top