Msanii zilipendwa kwenye maigizo nchini Kemmy Julieth amevunja ukimya na kutoa kauri juu ya kukereka kwa tabia ya wasanii kujidharirisha kwa kupiga picha za utupu kisha kuzisambaza kwenye mitandao.
Hali hiyo ilionekana kumuumiza baada mtandao huu wa XDEEJAYZ kumwaga hewani picha za mastaa hao wa bongo movie na mshiriki Miss Utalii kwa kurekodi VIDEO ya usagaji na baadae kuvuja.
Na haya ndiyo maneno yake aliyoyarusha kwenye mtanbdo wa facebook Juzi Jumamosi yasome
"NAWASALIMU MARAFIKI ZANGU NA MUNGU AWABARIKI SANA
kwanza pole sana kwa wale ambao uwa siwajibu sms zenu lakini tupo pamoja sana nawapenda sana,naomba kushauri kitu ambacho kwangu ni hisia zangu,ni kuhusiana na matukio ya picha mnayo post ktk page zenu naomba yazingatie maadiri na pia yapungue ukali,kuna matukio mengi uwa hayaonyeshwi kwa sababu ni ya uzuri, tutumie vizuri mitandao yetu ya jamii kueneza mema sio mabaya kwa wale mlio okoka lazima mjue kama shetani yuko kazini hata huku facebook kuna roho za mauti,ukahaba,uzinzi,usagaji,kuua,zinapandwa huku, biblia inasema tuwe wajanja ,,,,lakini wapole,,,asomae na aelewe amina"
Hata hivyo msanii huyo alikumbana na koment za wasaomaji ambao wengi walimsihi kutumia ukongwe wake kutoa ushauri na kwa heshima aliyokuwa nayo huenda wakamsikiliza badala ya kuongea chinichini ambapo haisaidii kabi

Post a Comment

 
Top