Sultan wa pwani ni msanii mwenye uwezo wa kuimba na kuchana pia vile vile kwa sahiv amerudi tena na kibao kipya kwa jina umekula huu.
Ngoma imefanywa chini ya studio za "thundersound" producer akiwa ni "morbiz". Mtindo ukiwa ni wa
tofauti na pia ubunifu wa hali ya juu. Wimbo unaongelea mtu kakudharau
afu mambo yakiwa yananyokea kidogo anaanza kama kujipendekeza kwako.
Fanya kuupa skio na shavu mdau. Nashukuru sana.
[JAMAA KUTOKA KENYA]

Post a Comment

 
Top