ASILIMIA 90 HASARA
Tamasha ambalo liliaminiwa kuwa tamu na zuri la ainia yake lageuka msumari wa moto kwa waandaaji baada kupata watu wachache sana huku wakiwa wameingia gharama nyingi katika maandalizi yao. Tamasha hili la usiku lifuatiwa baada ya tamasha lililofanyika asubuhi hadi mchana ambalo lilihusisha sana na kujaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi.

Tamasha hilo lilikuwa na wasanii kama Juma Nature, Spector Haroun, Mzee yusufu, Tunda Man, KR na wasanii wengi wa Tabora pia burudani za wacheza baiskeli, rollers, mchekeshaji "kababa yeyee", ma-dancers, mabondia, Karate n.k
Juma Nature na KR wakitoa burudani ndani ya Al-Hassan Mwinyi
Juma Nature kulia na KR kushoto, ni burudani tu
Balozi wa TEHAMA ; Spector Haroun
Tunda Man akifanya yake jukwaani, hatariii sanaaaaa
Wachezaji walioongozana na Tunda Man wakijifanyia yao na kwa raha zao... Jamaaa nouma.
Sir Moe msanii wa HipHop akiwakilisha mkoa wake wa Tabora
Mabokela, msanii wa Tabora akifanya yake, ni balaa
Wadau wa mtandao huu
***
Hadi mwisho wa tamasha hilo la usiku kulikuwa na mvutano mkubwa sana wa malipo ya kila aliyekuwa kafanya makubaliano na waandaaji wa tamasha hilo huku hali ya kukwepana ikiwa kubwa.

TAARIFA ZAIDI ZINATAFUTWA KUBAINI YOTE.

Post a Comment

 
Top