Umoja wa nchi za afrika (AU) umewachagua mwanamziki kutoka Kenya Juliani pamoja na Mwanamziki kutoka Nigeria Koko Master D’banj kuwa mabalozi katika secta ya kilimo Afrika.Kampeni hii inayofanywa na umoja wa nchia za Africa wenye lengo la kuokoa Africa kutokana na wimbi la njaa pamoja na kukuza bishara ya kilimo barani Africa.
JULIANA KONYOMOZI NA D'BANJ WACHAGUKULIWA KUWA MABALOZI WA KAMPENI YA KILIMO NA AU.

Post a Comment