Kijana wa miaka  29 mwenye raia wa  Ufiilipino ambaye pia ni mgonjwa wa kansa amefunga ndoa akiwa kitandani na mpenzi wake alionyesha upendo wa ajabu kwa kufunga ndoa hiyo masaa machache kabla mauti hayaja mchukua lakini masaa 10  baadae mara baada ya ndoa hiyo kufanyika kaka wa kijana huyo aliripoti juu ya kifo cha ndugu yake huyo na hizi ndizo picha za ushahidi wa  siku hiyo ya harusi yake....




















Post a Comment

 
Top