Mbunge wa Arumeru mashariki Mh Joshua Nassari siku ya jana aliuga Ukapera kwa kufunga ndoa na Bi Annande Nnko katika kanisa la kipentekoste jijini arusha ikifutiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Arusha Academy ulioko Usariver jijini Arusha.Pichani juu Bwana Harusi Joshua Nassari akamvisha pete mkewe Anande Nnko.
Post a Comment