Baada ya rapper Chriss brown kuachiwa hivi karibuni kwa mara ya kwanza anatoka na m[penzi wake zamani ajulikanaye kwa jina karrueche katika moja ya migahawa maarufu jijini hollywood kama wanavyoonekana kwenye picha.Rapper Chriss brown ambae alifungwa jela kwa muda wa miezi mitatu kwa kosa la kumpiga mwanamziki mwenzie rihhana enzi wakiwa wapenzi 


 

Post a Comment

 
Top