1. Beyonce Knowles
Imeshikwa na msanii Beyonce ambapo kwa mujibu wa jarida la Forbe amefanya show 95 ambapo kwa kila show analipwa zaidi ya dola za kimarekani $2.4million na zifuatazo ni wengine tisa wanaokamilisha kundi la watu hawa kumi kwa mwaka huu wa 2014
2. Dr. Dre
3. Jay Z
4. Rihanna
5. Katy Perry
6. Bon Jovi
7. Bruno Mars
8. Miley Cyrus
9. Taylor Swift
10. Lady Gaga
Post a Comment