Hussein-na-Size-8



Msanii wa  Bongofleva aliyeahi kutamba enzi na nyuma na nyimbo kma kafia ghetto na pia addicted  Hussein Machozi amepewa masaa 24 afungashe kilicho chake na kuondoka nchini kenya baada ya kufaniwa akifanya mapenzi na mke wa mwanasiasa maarufu nchini kenya katika hotel ya Sarova WhiteSands.Ijapo hivi karibuni aliweka nadhiri yake kurelese ngoma yake mpya alishirikiana na Kundi la muziki kutoka kenya Sauti Sol hatuji itakuwaje 

Endelea kuwa nasi kupitia Facebook na kuzipata mara zitufikiapo 

Post a Comment

 
Top