Hii ni ni
miongoni mwa video atakazoachia July 07,audio imefanywa na producer
Tuddy Thomas wimbo unaitwa Mdogo Mdogo umefanywa na director yule yule
alitefanya video kadhaa za mastar wa Afrika anaitwa God Father.
Sekunde kadhaa za video hiyo ni hizi,. Bonyeza hapa kuitizama youtube
Post a Comment