Hiy maker wa single ya Mdogo Mdogo kutoka hapa Tanzania msanii Diamond Platnumz au Nasibu Abdul Juma siku ya jana ametafnya sherehe katika ukumbi wa Golden Jubilee Tower uliopo Dar es salaam ambapo alizazaliwa mwaka 1989 October 2 ambapo mpaka leo anatimiza umri wa miaka 25 akiwa msanii mzuri anayeipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la muziki Duniani,Nimekuletea baadhi ya picha za mastaa waliofika kusherekea siku yake ya kuzaliwa naye hizi hapa
Mashabiki Watano waliojishindia kadi ili kuwawakilisha mashabiki wengine wote
Post a Comment