Miss Tanzania 2014 aliyenyakua Taji hilo siku za hivi Sitti Mtemvu karibuni amekuwa gumzo kwenye mitandao mabali ya habari na hata kijamii juu ya mavazi yake na hata Juu ya umri wake  na pia kuhusu ushindi wake eti alipewa tu hana vigezo vya kuwa miss kutokana na unene wake na kua alipendelewa ndo maana akashinda,nimekuletea picha hizi utizame alivyo 

  


  


  


  


 


Picha zote Kwa hisani Bongoclan

Post a Comment

 
Top