Guru Kailash Singh ambaye ni raia wa India amegoma kuoga toka akiwa na miaka takribani 39 mpaka sasa licha ya jitihada kubwa zilizowahi kuafnyika na familia yake ya kumuhiza akaoge lakin imeshindikana ambapo mpaka naikaribia kuvunja rekodi ya mtu anayenuka zaidi duniani ambapo mpaka sasa ana umri wa miaka 65 akiwa na nywele ndefu zenye urefu wa mita 6,ana watoto sita wa kike pamoja na mkewe ambapo mkewe anaeleza shughuli kubwa anayoifanya mumewe ni kuvuta bangi ama marijuana kwa lugha ambayo kikwa inatambulika zaidi kutoka India pamoja na kumwomba mungu wao anayejulikana kwa jina Hindu na kucheza miziki ya huko kwao.


Familia yake inaezelezea kuwa iliwahi kuaribu kumlazimisha kumwogesha kwenye mto mara nyingi lakini ilikuwa ngumu na laitishia mpaka kujiua endapo wangerudia tena kitendo hicho au angepigana nao na mkewe mwenyewe aliwahi kumtukana na kuamwambia kuwa asithubutu kulala nae kabisa endapo hata oga lakin alikataa katu kuoga mpaka leo hii,Hizi ni badhi ya picha zake 


  


  



Post a Comment

 
Top