Amber Rose and Wiz Khalifa


Baada ya muda kidog kupita ambapo uhusiano wa mastaa wawili yani Amber Rose na aliye kuwa mumewe Wiz Khalifa kuvunja lakini siku ya Birthday ya Amber Rose rapper Wiz khlifa alimtakia heri katika siku yake ya kuzaliwa lakin Amber Rose hakusita kujibu na kutia bashasha kwenye post yake alitoa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na hivi ndivyo alivyo andika 





Kuna matumaini kuwa siku moja uhusiano unaweza kururi si ajabu kama ukisikia hivyo,Amber kwa sasa amefikisha umri wa miaka 31 mpaka sasa.

Post a Comment

 
Top