Jose Eduardo Dos Santos


Afrika kwa sasa Tumejaliwa kuwa na viongozi wanaingia kwenye list ya matajiri wakubwa Dunia Jarida la Richestlifestyle limetoa orotha ya maraisi kumi ambao ni matajiri zaidi Afrika Mashariki Tumefanikiwa kuingia huku aliye shika nafasi hiyo na Raisi kutoka kenya Uhuru Kenyatta wengine hawa hapa

9. Roberth Mugabe akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $10 MILLION

8. Idris Deby raisi wa chad akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $50 MILLION

7. Goodluck Jonathan akiwa ni Raisi kutoka Nchini Nigeria akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $100 MILLION


6 King Mswati III huyu ni mflame kutoka Swaziland anayesifika kwa kuwa na wake wengi akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $100 MILLION

5. Paul Biya huyu ni Rais wa Cameroon akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $200 MILLION

4. Uhuru Kenyatta Kutoka hapa Afrika Mashariki tumepata raisi tajiri zaidi akishika nafasi ya 4 kutoka Kenya akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $500 MILLION

3. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo Huyu ni raisi Equatorial Guinea kutoka akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $600 MILLION

2. Mohamed VI kutoka Morocco akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $2.5 BILLION

1. Jose Eduardo Dos Santos raisi kutoka Angola akiwa anamiliki utajiri wa Dollar za kimarekani $20 BILLION


Source – RichestLifestyle.com

Post a Comment

 
Top