Mchungaji mmoja kutoka kanisa la Anglican kutoka kenya amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na muumini wake gest moja iliyoka katika Jiji la Nairobi wakivunja amri ya sita,Baada ya mchungaji huyo kuulizwa kuliko na muumini wake gesti alidai wamekuja kufanya maombi ambapo mume wa mwanamke huyo ni marafiki wa siku nyingi na Pastor huyo aliye fumaniwa nimekuletea Video hii hapa.


Post a Comment

 
Top