Hizi Picha Za Birthday Party Ya Chege aliyofanyiwa na marafiki kinondoni usiku wa kuamkia 9/10/2014.Wasanii waliohudhuria ni pamoja na Madee, Temba, Diamond, Aslay, Maromboso, Shilole, Nuh Mziwanda na Wengine wengi. Ma Dj wa radio tofauti pia walikuwepo.
Post a Comment