
Rais wa Marekani Barack Oboma ambaye amejaliwa kuwa na watoto wakike wawili wanaonajulikana kwa jina la Malia Oboma mwenye umri wa miaka 16 na Sasha Obama mwenye umri wa miaka 13,watoto hawa wanakuwa haraka sana na kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo wanavyowafanya watoto wa kiume kuwadondoshea mate kutoka na uzuri walionao,mitandao mingi ya marekani inareport juu ya uzuri wa hawa mabint na kusema kuwa inawezekana kabisa rais Obama akawa ndie raisi mwenye mabinti warembo zaidi duniani nimkuletea baadhi ya picha zao hizi hapa.




Post a Comment