Msanii Diamond Platnumz kutoka hapa Tanzania amenyakua tuzo tatu katika shindando la tuzo zinazotelewa ka Channel O ya AfriKa kusini ambapoa kubwa kwa siku ya jana ni juu ya maneno aliyondika aliyekuwa mpenzi wake Wema Sepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na kama kawaida yake alivyozoeleka kuwa na muitaga My Baby lakin siku ya jana alimuita kaka sasa zile tetesi ambazo ziliwahi kuvuma karibuni kuwa bado ni wapenzi ni mwisho leo na nukuu maneno yake

“Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa akizifuatilia.



 

Kingine ambacho ulikuwa hukijui ni kwamba siku ya jana anayesemakana ni mpenzi wa msanii huyo Zari the Boss Lady alikuwa karibu naye toka shughuli imeanza mpaka imeisha sasa their are Official in Relationship


10448985_756780187704186_1932636597_n



Nahii ndio list mzima ya Tuzo alizoshinda msanii huyo














Post a Comment

 
Top