Ninayofuraha kubwa kukuhabarisha kwamba Msanii Diamond Platnumz ambaye yuko nchin South Africa akishirika katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za channel O zinazojulikana kama CHOAMVA 2014 ameshinda katika kipengele cha Most Gifted East announcement
Post a Comment