Screen Shot 2014-11-18 at 12.13.24 PM
Kwanza watu walianza kuitamani baada ya mfululizo wa picha kuendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na imeingia kwenye Top10 ya cover za single mpya Tanzania zilizoongelewa sana.

Barnaba na Vanessa ni marafiki wa muda mrefu lakini hawajawahi kusikika kwenye single moja, ibonyeze brand new hapa chini .
Bonyeza hapa uingie hapa kusikiliza na kudownload pia >>>> HAPA

Post a Comment

 
Top