MwstHii ni collabo ya pili kutoka kwa Mwasiti na Godzila baada ya ile ya kwanza ya Soldier kufanya vizuri kwenye radio na tv,picha za wimbo huu zimeanza kusambaa mwishoni mwa wiki iliyopita ambazo kila mtu alikua akiifikiria tofauti.
Ujio wa single hii mpya imekuwa tofauti kwa Godzilla ambaye amezoeleka akichana kwenye single kadhaa ambazo amekua akisikika lakini humu kaimba na kaifuata style ya Mwasiti.
Bonyeza play kusikiliza.

Post a Comment

 
Top