Kenya kila inapofika karibu mwisho wa mwaka hali inakuwa mbaya sana kutokana na kwamba wanafunzi wanakuwa wamefunga shule wanapumzika lakini sasa huko kupumzika kwao ni balaa wanafanya kitu kinaitwa After Skul Bash ambayo ni party inayokutanisha wanafunzi mbalimbali wakiwemo wa vyuo na hata sekondari kinachofanyika huko ni laana nimekuletea hizi baadhi ya picha kutoka kenya teremka nazo hapa,,,,









Post a Comment

 
Top