Nadhani utakuwa unamfahamu Askari linda Okello ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuwika sana na akawa ndie polisi mzuri na mwenyew shepe kuliko wote kutoka Kenya lakini kwa sasa amepata mpizani wake ambaye mpaka sasa hajajulikana jina lake halisi ni nani ila kwa picha hiz zinatosha kuthibitisha kuwa ni mzuri kuliko Linda Okello

Post a Comment